maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
1.kama una eneo lako lenye haya mawe.chukua ka nusu kilo nenda seamic kunduchi lipa wakupimie ujue ni madini gani.Asalaam Aleykum!
Wahenga naombeni mnitafutie soko la haya mawe maana bado sijapata.Kuna watu nimewaona Site wanayachimba na KIJIKO na kujaza kwenye SEMI TRAILER na gari huwa linaelekea dar,nimewadadisi ili nijue soko lake na bei lakini hawakutaka nijue chochote.wanatumia KATAPILA MPYA,SEMI TRAILER BADO INADAI na vibarua.Baada ya kufanya upembuzi yakinifu nimegundua yana thamani kutokana na gharama wanayoitumia katika kuyachimba kua kubwa.Mi niko Dar but weekend hua naenda shamba so kitendo cha kuendelea Kuwaona wanaingiza hela wakati hata mimi najua pa kuyachimba kichwa kinaniuma sana
Kupima bei gani?1.kama una eneo lako lenye haya mawe.chukua ka nusu kilo nenda seamic kunduchi lipa wakupimie ujue ni madini gani.
Hapa jukwaani na pia kwa picha tu utoweza pata msaada wowote wa kuweza fanya biashara.ukishajua ni mawe gani.tuwasiliane ntakutafutia wateja!
Zingatia kuwa eneo ni lako,usije waka tamaa kumbe ni eneo la mtu mwingine
Wasiliana nao mkuu .maana mimi mara ya mwisho kuenda hapo ni 2014.so kwa sasa sijui bei ila pita hapa uweze wasiliana nao African Minerals and Geosciences Centre - African Minerals and Geo-sciences centreKupima bei gani?
Kwani export ya madini ina kodiKwa picha yanaoneka kama Fedlsper.kama ndo yenyewe yanatumika kuzalisha
- Adhesives
- Enamels
- Glazes
- Plastics
- Sanitaryware
- Wall & floor tiles
- Container glass
- Flat glass
- Paint
- Rubber
- Hivyo kuna zaidi ya viwanda 4000 duniani kote wanahitaji kama malighafi ya kuzalisha hizo product hapo juu.
- Nimeangalia kwenye mtandao wa wanunuaji haya madini bei ni kuanzia dola 200 mpka $ 1000.
- Bei inatokana na content yake ktk mawe usika.So ukipima unaweza kuwa katika uwezo wa kuelewana na buyer bei nzuri!
- Biashara hii inafanyika kwa LC. Kati ya benk yako na benk ya mteja
- Mzigo kabla aujasafirishwa kwenda kwa mteja utaitaji certificate of orign toka Chama cha wafanya biashara wa Tanzania,kulipia kodi tra.na pia unaweza hitajika kuwa na SGS inspection ducoments.
- Wateja ni China,India,Dubai,USA etc.
Cashew nuts..animal skin na raw hides mi nilifikiri ndio zina kodi za kuexport.Kwani export ya madini ina kodi
Mi nilifikiri exports zenye kodi ni za ngozi za wanyama na korosho
Sent using Jamii Forums mobile app