Wahenga mpooooo

Sasa mlikuwa mnatakata yawe makubwa myafanyie nn au ili mnipe niyanyonye
 
Hahaaa. Dada umenikumbusha mbali mie nawakumbuka sana. Wanakaa pembeni mwa nyumba na walivyo na maajabu huwa wanatoka eti pale unapofukua fukua.

Ila siku hizi hayapo haya.
Pembeni ya nyumba kwa chini hivi unakutana na vishimo siku hizi hakuna hizi mambo kabisa dada akee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…