Come on darling,mi na wewe mbona tulifuata taratibu zote?
Ruttashobolwa hivi harusi yenu na Passion Lady ni lini?
honey unajua kuimba
inabidi unifundishe na mm!
How are you lov?
Usijali utajua tuu taratibu!
View attachment 88009nimempa hiyo
au keshaifakamia nini?coz simsomi kabisa!
Thanx lazima inifikie lasivyo panya wa kwao hawatasalia!
Thanx akanana Passion Lady
hahaaa! Jiwe Linaloishi
mpe honey wangu zawadi yake
panya wasijetokomezwa bila hatia!
Mfundishe na kale karufundi!
Lov lazima ajitokeze lasivyo hata sisimizi hawatoonekana kabisa!
Hata kumwalika bishanga nikwaweka upako?