Mimi nakushangaa wewe. Wewe unaonekana wa kizamani sana. Hakuna jambo kubwa hapo. Kuwa na ndugu wanaoishi Germany, Turkey etc siyo jambo kubwa kwa sasa. Masafa ya hiyo Refio hata kama yanaishia ndani ya mkoa huo haiamanishi kuwa taarifa haitawafikia walengwa, labda kama huelewi Technologia ni Nini.