Simba ipi?Ama kwa hakika Maisha yanaenda kasi sana. Wachezaji waliokuwa magarasa kiasi cha kuwachukiza Wanasimba na kufikia hatua ya kutaka kutolewa kwa Mkopo Nyota zao zimeanza kung'aa masaa 72 tu baada ya mgomvi wao kuondoka...
Ukiona hivyo ujue uko kwenye wrong forumSimba ipi?
Ndio timu gani?
Hatuifahamu,fafanua kidogo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Laaan ipi? Utopollo mnawaaaashwa kisa Kishingo aliyekuwa anawachezea na Striker mmoja kuondoka. Mtauona moto wa Lunyansi tarehe 20/02Laana ya huyo kocha itawatafuna sio muda.
Mkuuu, Yanga ni timu ndogo ndogo kweli Mkuu? Wanaoonekana wana Viwango huko timu ndogo ndogo kama akina Gadiel, Ajibu, Morrison, Duchu, Lamine Moro nk nk wamesajiliwa Simba lkn wote wanasugua Benchi tu.Simba kuna wakati wanapoteza umakini kwenye usajiri.
Wachezaji wengi wa kimataifa wa Simba wana kiwango cha kawaida kabisa.
Kiwango ambacho kinazidiwa hata na wachezaji wa ndani wa timu ndogo ndogo kama Mtibwa, Yanga, Kagera Sugar nk.