Kukatiwa umeme ni swala moja ambalo jibu lake ni mtambuka kidogo as wanaweza Sema ni swala liko nje ya uwezo wao ila ishu ya hospitali ya rufaa kukosa standby generator ni kitu kuanzia mkuu wa mkoa hadi waziri wa Afya Wana la kujibu. Huu ni uzembe Sana na nakuhakikishia watu wote ambao wako responsible na hiyo hospitali kuwa na hilo generator wao na jamaa zao hawatibiwi hapo wanatibiwa London clinic, Sali, Aga Khan na Hindu Mandal ambako hayo ma standby generators yapo.Swali kuu lingekuwa "Kwa nini Hospitali ya Rufaa ikatiwe umeme?"