kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,289
mkuu ngoja nitafute hela kwa bidii sana.Ganda la Mua la jana hii ndio ile chungu kaona kivuyo😂😂😂
thanks mkuu haya ma motivation yananipa hasira sana ankoEwe bro piga kazi mwanawane, na Wala usi mkumbuke au kumuwazia pale mambo yaki anza kuwa sawa.
ila elewa apart from hustling you got no other choice to make you succeed.
so keep going.
View attachment 3229604
Labda nilijisahau kwa kuhisi atakuwa wangu mileleHukuwa na mpango wa kutafuta hela tu, yani mwanamke kukuacha ndio umekuwa motivated 😂🤣, kwahiyo angekukubali na shida zako ungeridhika na shida zako.
I wish aione hii fridaaaaaah umejua kunilizaewe dada elewa chanzo Cha shida zako sio kwasababu hauna mpezi mwenye hela.
bali ni kuto fanya kazi, na kuona mwili wako Kama bidhaa ya mauzo
View attachment 3229589
imeniuma sanaTafuta hela ili uweze kuondoa shida zako, usi tafute hela ili uka honge mwanamke.
View attachment 3229588
Muhimu sana bossTutafute hela
Una akili sana kijana.Tafuta hela ili uweze kuondoa shida zako, usi tafute hela ili uka honge mwanamke.
View attachment 3229588
Nimekusoma mkuuUna akili sana kijana.
Hata kama huna hela huwezi kosa nyapu, nyapu zipo za standard tofauti tofauti ni kuishi kwenye level yako.
Wagonga ulimbo ni vijana wrote wenye maisha ya kuunga Inga lakini ni wachacharikajiKuwa uyaone mkuu, by the way wagonga ulimbo ndio watu wa namna gani mkuu sijaelewa vizuri hapo.
DuhWagonga ulimbo ni vijana wrote wenye maisha ya kuunga Inga lakini ni wachacharikaji