iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
[FONT=arial
black]wageni wengine noma mwenyeji:utakunywa
nini? soda au chai mgeni nitakunywa soda wakati nikisubili chai
ichemuke!mwenyeji:hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?mgeni:nipe coca
,sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa. mwenyeji:nikupe mkate au
maandazi?mgeni:nipe maandazi kwanza mkate nitakula na chai
ikichemuka.jioni ilipofika mwenyeji:nikuandalie chipsi mayai au
kuku?mgeni:niandalie chipsi kuku kwanza,mayai naomba uchemshe10 ili
nishushie na ile sprite [/FONT]