Ebwana heee!! Awajama wanapenda sifa bwana kama mnavyojuwa timu yao ya taifa imeishafuzu kwa point 13 kiasi kwamba ata tukishinda au lesotho kushinda atuwezi isogelea kileleni ata kidogo.
Ajabu sasa timu imeweka kambi misri nakama haitoshi wamecheza na mechi ya kirafiki yani utafikili wanakwenda kucheza mechi ya ufunguzi world cup.
Leo sasa nikiwa mpakani mtukula jamaa wamekodi basi nne za friends full bendera ya taifa full vuvuzela eti wanakuja dar kushangilia timu.Sasa najiuliza hii mijamaa inamalengo gani na sisi mpaka watufanyie hivi? au labda kunasehemu tuliwakwaza tukawaombe samahani ata kesho kabla ya mechi?.
Sasa najiuliza hii mijamaa inamalengo gani na sisi mpaka watufanyie hivi? au labda kunasehemu tuliwakwaza tukawaombe samahani ata kesho kabla ya mechi?.
Ata kuwa ni mganda anayesoma tanzania sio bule.Kuna jamaa hapa anataka kupigwa na raia kisa anasema kwa sauti kubwa "KESHO TAIFA STARS INAPOKEA KICHAPO TU HAMNA JINSI"
wananchi wenye hasira nikiwemo na mimi tumeshika bakora kumchalaza bahati yake jamaa wa patrol wamemuokoa.
NB.
Picha nimeshindwa kupiga maana sikuwa na simu karibu.
Kadanganye watoto wa chekechea na hizo stori zako ukimaliza kanye kaoge kalaleKuna jamaa hapa anataka kupigwa na raia kisa anasema kwa sauti kubwa "KESHO TAIFA STARS INAPOKEA KICHAPO TU HAMNA JINSI"
wananchi wenye hasira nikiwemo na mimi tumeshika bakora kumchalaza bahati yake jamaa wa patrol wamemuokoa.
NB.
Picha nimeshindwa kupiga maana sikuwa na simu karibu.
Kwani kakufanyaje mkuu?Kadanganye watoto wa chekechea na hizo stori zako ukimaliza kanye kaoge kalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bashite awezi waambia TBL walete magari ya bia na mizinga ya konyagi wauze uwanjani tunywe tulewe tupige kelele mpaka waganda waone maluelue?Waambie Bashite ndio m/kiti wa kamati ya uhamasishaji T.stars hivyo wajiandae na kipigo [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na maisha yalivyo magumu hivi eti tuishangilie Taifa Stars ...kesho.
Huu utakuwa ukichaa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
👆 Naona umeguswa mpaka ****** kukuwasha pole sana, wengine hatuna mafunzo ya kufumua malinda.Kadanganye watoto wa chekechea na hizo stori zako ukimaliza kanye kaoge kalale
Huwa hawakosekani fuli kama hawa nimempa jibu tayari juu👆Kwani kakufanyaje mkuu?
Hivi kwann wanafunyia hv? Kwa mfano wana nn chakupoteza? Ata kama nikutokomoa ndo wakodi na mabasi kwenda kushangilia timu yao wakati wameisha fuzu?kuna ambao nimewaona hapa Bukoba wana kata tiketi kuja kushangilia timu yao nawapa onyo tukifungwa wapitie Nairobi wasipite Bukoba