hahaha ko walipwe pesa au waondolewe ukimwi na unyoro?
Hawa walikamia mechi
pamoja na hayo walikamia sana mechi yaani mtu anapump kama anataka kuua kisa demu kala hela yake
Mnafahamu sheria ya madhara....Hapa Sijui mahakama Itafanya Nn Sema Wanaweza lipwa
Mpunga Mrefu Kimasihara wakiwa Makini lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja na hayo walikamia sana mechi yaani mtu anapump kama anataka kuua kisa demu kala hela yake
Mnafahamu sheria ya madhara....
ama the law of tort....
ama the law of delict...kwa walioshi SA...
hapo wanadai fidia kutokana na uzembe wa serekali kuruhusu hizo condom kuingia kwenye circulation...
lkn pia kutoka kwa kampuni husika
kuna watu wa hivyo mkuuDah Nimecheka sana
wanakuwaga wanapania kbs Huyu mtu kala zangu sasa Siku tukionana amazake
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu wa hivyo mkuu
Wengi humu mmezaliwa wakati gonorrhea limeshapotea. Nika ugonjwa kadogo kama mafua lkn kero yake ni balaa. Kuna lile unapiga mzigo usiku kesho tu saa sita unakamua maziwa. Sema tu enzi za gonorrhea watu walikua hawajagundua kitu inaitwa tiGO wala kuzama chumvini.
Lingekuwepo zama hizi wangeumbuka wengi
Wewe utakua mhenga. Gonorrhea lilipotea miaka ya 90. Hawa bodaboda wote hawalijui. Tatizo lake halijifichi. Usaha unatoka bila mpangilio na suruali inalowa bila wewe mhusika kuwa na taarifa. Halafu ukienda mnazi mmoja enzi zile wanakuambia, kamlete aliyekuambukiza. Hapo ndio ilikua shughuliNishapata Huu ugonjwa Mkuu kwanza unaboa Pili niugonjwa wa Aibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua mhenga. Gonorrhea lilipotea miaka ya 90. Hawa bodaboda wote hawalijui. Tatizo lake halijifichi. Usaha unatoka bila mpangilio na suruali inalowa bila wewe mhusika kuwa na taarifa. Halafu ukienda mnazi mmoja enzi zile wanakuambia, kamlete aliyekuambukiza. Hapo ndio ilikua shughuli
Shangaa hata wewe, alikuwa anafidia pesa zake alizo honga na vyuku walivyokulaHahaha"najiuliza tuu inamana game Ilikuwa anapiga mkomoo au Niaje Maana Duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa hata wewe, alikuwa anafidia pesa zake alizo honga na vyuku walivyokula
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaacha mke nyumbani kaenda nunua penzi na HIVhaha maana hatakama Condom hazijakizi viwango ukizitumia kistaarabu Haziwezi leta mazara
Sent using Jamii Forums mobile app