[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samaki nchanga huyo .Mpaka bidhaa ziishe leo[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 3028039
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had nataka kupaliwa, ndo nn sasa? AaahSamaki nchanga mwingine huyo[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 3028046
Boss una kiatu kizuri, kinaendana nawee kabisaaa.Uliza kiatu........
Samaki nchanga huyo😄😄😄 sisi wazee wa forever living ndio mikwasa yetu hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had nataka kupaliwa, ndo nn sasa? Aaah
Tatizo kiatu hakiendani na dress code, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samaki nchanga huyo[emoji1][emoji1][emoji1] sisi wazee wa forever living ndio mikwasa yetu hiyo.
Hicho kiatu na hizo soksi haviendani, next time tafuta soksi nyeusiSamaki nchanga huyo .Mpaka bidhaa ziishe leo😄😄😄View attachment 3028039
Tupia na wewe tukuone Dada,Hicho kiatu na hizo soksi haviendani, next time tafuta soksi nyeusi
Suruali fupi kama hiyo haipendezi kuvalia kiatu na soksi.
Nipo peku
Hapa hata ukigombea ubunge unapita bila kupingwa.Asante kwa ushauri mi najivaliaga tu ,hapa vipi ?View attachment 3028057
Mpeku mpaka juu?Nipo peku
Mpaka chiniMpeku mpaka juu?
Na wazee tayari washaniomba ,tuombeane heri na uzima.Shukrani mkulu.Hapa hata ukigombea ubunge unapita bila kupingwa.