Wadau nishaurini kwa hili

Mi mambo kama hayo mi natupa kule sijfikiliagi mara mbili huyo mwanamke ni shetani sawa sawa na alshabab
 
hapo sasa haya ya mtoto si wangu ndo habari ya mjini, inatubidi kila mtu akapime DNA kujua baba yake ni yupi atiee. Siku siku nilisema kuwa sidhani hata mimi kama nilienae ndie babaangu. Sitaki kwenda mbali sana ila tunaamini tu kuwa na baba zetu tukitaka uhakika zaidi tutaumbuka sana. Uamuzi unao maadam ushaanza kusikiliza ya watu hamtofika mbali.
 
pima DNA ndo utapata jibu na ukichelewa chelewa anakubambikiza mwingine lakini weye nawe mkuu unaonekana una mfumo dume badilika kidogo
 

Mchkue dogo na mkeo mkapime DNA,kama ikitokea mtoto si wako huyo mwanamke hata nyumbani kwako asirudi,aondokee huko huko kwa mkemia
 
Mchkue dogo na mkeo mkapime DNA,kama ikitokea mtoto si wako huyo mwanamke hata nyumbani kwako asirudi,aondokee huko huko kwa mkemia

Nashukuru mkuu hili nitalifanya kazi mara moja!
 
Hujatupa majibu ya upelelezi wako wa kimya kimya kwamba uligundua nini. Ila pia mpaka hapo sio mkeo na pia ni mkeo.

Kwanini ni mke.? Kwa hizi marriage presumption act ya 1971sect 160 ukitaka kuachana naye lazima umlipe uchakavu, na ikigundulika au ikishinikizwa kuwa mtoto ni wako utawajibika kwa matunzo yake pia.

Kwanini sio mke? Kwa maelezo yako ni kwamba hamjafunga ndoa bado. Kama namba moja hapo juu haitakukamata basi achana naye jipange upya..you have nothing to loose.
 
pole ndugu, bado hujapata ushahidi wa kutosha kumhukum mkeo, stori na hisia mbaya zinaponza, endelea fanya uchunguz makini utagundua tu then hata ukigundua kama kakiri kujirekebisha kuna chance ya kusamehe pia
 
Kwa experience yangu ukishaanza kuhisi mabaya basi its the only route you will take. Trust me they will add up. Up to now all you have is your friend's words no concrete proof. Please be a man and save your marriage. What if you find out later that it was all false? What if it is indeed your child, She may have slipped once or twice but that doesn't make her a satan. Think of that kid and take him/her as your own. Do not speculate before you spectate.
 
Rafiki pole sana kwa mkasa huu mzito mimi kama mwanaume niliye kwenye ndoa naweza pata picha ya maumivu uyapatayo.
Kiukweli ni ngumu sana watu kumwambia mtu usaliti wa mwenzi wake, hata kama mtaa mzima ujuwe wewe unaweza usijue hivyo shukuru hao walio jasiri waliothubutu kukwambia hayo.

Kwakuwa umepata pakuanzia basi nakuomba kaa na mkeo seriously akwambie ukweli, muulize kwa namna unavyomjua anaweza kueleza ukweli, wapo wanawake ukivaa uso wa mbuzi ndo wanasema ukweli ila wapo wengine ukivaa uso wa kondoo wao ndo husema ukweli yaani unamteka kisaikolojia aamini utamsamehe na hutomfanya chochote na umemuelewa.

Ikishindikana hapo nenda kwa mkemia mkuu mkapime DNA ili ujuwe ukweli si vizuri kuishi na mtoto huku ukiwa na wasiwasi kuwa huenda si wa kwako, hii hali itakuathiri kisaikolojia mwishowe hata mtoto hutompenda tena.

Zingatia: Ni ukweli uliodhahiri kuwa hakuna mapenzi ya mbali hata wewe inawezekana una mpenzi mwingine pasipo yeye kujua hivyo nakushauri ni vema ukakaa karibu na familia yako. Simaanishi walio karibu hawasalitiani bali kuwa karibu kunapunguza vishawishi na huwafanya wanandoa kuwa na nguvu za kujitawala.

Kumbuka hata Hawa alishawishiwa na shetani baada ya kwenda upande mwingine wa bustani na kumwacha Adamu upande mwingine wakati MUNGU alikwisha waambia wawe pamoja/wasiachane, wangekuwa pamoja huwenda wangekumbushana kuhusu agizo la Mungu.
 
hapo kaka kwa kuwa umepata hizi habari, kwanza mshukuru aliekwambia na ufanye uchunguzi makini. sio kwenda kumuuliza yf hapana, chukua mtoto kapine DNA ukishapata majibu fanya maamuzi. kwa maoni yangu, ukikuta mtoto ni wako endelea kula maisha na familia yako, lakin ukikuta sio wako, piga chini. kuanza upya si ujinga atii..
 
wee chakufanya hapo ni kwenda home na kumweka kitimoto yf na kudemand ukweli wa mambo. baada ya hapo unamwita yule njemba aje alafu mnamgegeda na kumla tigo huyo yf
hii haitasaidia for sure, cha msingi ni kujua kama mtoto ni wake au la, mwanamke hata umuwekee kisu shingoni, hatokubali kuwa kasaliti. BTW mie naona kama alichepuka kidogo wakati jamaa hayupo hii inasameheka, tatito ni kulea mtoto asie wako huku ukijua mazingira ya mimba hiyo yalikuwa na utata....., pima dna baaaasi, them amua moja.
 
pole sana mkuu. Mimi naona ni bora uwe na subira kwanza hadi uje dar, ukushakutana naye fanya naye mtoko Fulani hivi, sehemu tulivu ambayo imetulia, huku ukionesha kuwa una furaha na upo kawaida tu bila shaka yeyote. Kisha baada ya maongezi na stori kidogo, anza kumuuliza km anakupenda kwa dhati, (ambayo najua atakiri) kisha muulize kama aliwahi kukucheat(hapo utaona atakavyoanza kugwayagwaya)..mbane na umsikilizie jibu lake, kasha ndipo umuulize na huyo mtoto ni wa nani? hapo lazima aibu itamshika na kama hajaanza kukuangukia miguuni kukulilia msamaha utaniambia!!! sasa baada ya kujiridhisha kuwa mototo si wako basi, AKILI KUMKICHWA, kama utaendelea naye au utaachana naye....kila la kheri Inshaallah!!
 
Unakeraaa !!!ungekaa nae basi uko chuo km mkoa hakuna uaminifu na umezidi kila kitu kuambiwa !

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Unakeraaa !!!ungekaa nae basi uko chuo km mkoa hakuna uaminifu na umezidi kila kitu kuambiwa !

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu mie si mwepesi wa kusikia ya kuambiwa kama unavyodhani, ningekuwa hivyo mara ya kwanza tu nilipotonywa cheche zangu zingeonekana. Nilizipuuza kabisa na hata yeye mwenyewe hakujua kuwa habari zake nazijua. Ila this time kisu kimefika kwenye mfupa. Hebu fikiria ungekuwa wewe kwa ishu nyeti kama ya mtoto, guts ungezitoa wapi?

Hoja ya kuja nae dar wakati nasoma haingewezekana kwa kuwa anafanya kazi.
 
mkuu hebu tuwe wa kweli....

hivi muda wote uliokuwa chuoni HUKUCHAKACHUA??

ushairi wangu ACHA TABIA YA KUKAA MBALI NA MKEO. Fimbo ya mbali haiui nyoka.
 

Upelelezi wangu nilioufanya ulilenga kupata taarifa toka kwake yeye mwenyewe kwa viashiria kama simu, meseji, na pia niliwaomba watoa taarifa kuwa wakija kumuona popote akiwa na huyo jamaa wanitonye ili nikafanye ambush, sikufanikiwa kupata hata clue kidogo tu. Kwa haya alikuwa smart kweli kama alikuwa anafanya haya.
 

kila mtu na solution zake mie hapo naona i got nothing to lose becoz huyo mtoto sio wangu na huyo mwanamke ndio kashanisaliti so myt as well just abuse her and leave
 
Kama ulisha rizika jivishe ukulya
Yaani huyo.mtoto awe wako.tuuu
 
Mke nichague mie, mahari nitoe mie, kulala nilale naye mie...mimba umpe wewe,...................(singing majanga remix kwa masikitiko makubwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…