Vina Hotel Ltd
Member
- Aug 12, 2013
- 9
- 3
- Thread starter
-
- #21
Its common for colleagues & age mates, friends & ex friends to meet on weekends ringing a bell back of those ages, only at an exclusive rooftop Mawenzi Summit, at Vina Hotel Ltd.Bwana Amplitus,
Kumbe twakaa jiraniMoja ya viwanja vyangu vya Nyumbani
Kumbe twakaa jirani
mandhari ya kujificha ikoje. Funguka.:shut-mouth:
Inawezekana. Si mbali sana na maskani
Nyoooo
mandhari ya kujificha ikoje. Funguka.:shut-mouth:
Unapajua kwa Mkuzuge near Ukomboz Guest???
Sababu kubwa unajuwa inakuwa ni nini,ni mkurugenzi au viongozi wa Hotel uzalendo unapowashinda pale wanapoanza kuvipitia vile vidada vinavyotoa huduma mle ndani,matokeo yake kila muhudumu Hoteli inakuwa ya kwake.hongereni inavutia ila tatizo la hoteli na lodge zinazomilikiwa na kuendeshwa na watanzania zinashindwa kumaintain standards, mwaka mmoja tu hoteli iliyokuwa na service nzuri kila kitu kinaenda down. This as my free advice to Vina