Wadau Karibuni Vina Hotel Ltd!!!

Joined
Aug 12, 2013
Posts
9
Reaction score
3
Tuko Mabibo Makutano Karibu na NIT na TGNP.
Ni hoteli ya kiwango cha kuridhisha na huduma mbalimbali kama kumbi za mikutano (Conference facilities), Summit Bar (Rooftop bar), Fine dining restaurant, gymnasium, nk.
Tuko nje ya vurugu na usumbufu wa mjini, hivo ni sehemu mahususi na murua kwa maadalizi ya fungate la baada ya ndoa.
Comfort, warmth and privacy is our pride!!!
 
unatangaza hotel katika karne ya 21 bila kutupia hata kapicha!?
 

We ndio markrting officer? Mbona uko shallow hivyo?
 
Bei? Picha? Tofauti yenu na wengine? Hvyo ni vitu muhimu ktk tangazo. Na ramani yako ieleweke, mweleze mtu anafikaje, maana sio wote wanakaa huko external/tabata.
Swali la msingi utakaloulizwa na wengi; kuna mito ya ziada "extra pillow" kwa wateja?
 
Kwa watu wanaopenda "Privacy" za wikiendi au siku yoyote au kwa wenye kazi zinazohitaji utulivu Vina Hotel ndo mahala panapo kufaa uwapo Dar.

Jamaa kawekeza mpunga wa kutosha ila alikosea sana eneo la kuweka hiki kitegauchumi. Pia hakupata Msanifu mzuri au alikuwa mbishi. Asipochukua hatua za kuwanunua majirani mapema yatamkuta ya Lunch Time Hotel-Ubungo!
 
Wadau naombamsamaha sana kwa kuchelewesha kutupia picha ni kutokana na mchina niliyemwamini kugoma kudownload images nami nilikuwa bado mbali na vifaa vya uhakika.
Nawashukuru sana kwa comments zenu hasa zile zilizonilaumu kwani zilikuwa na msingi mkubwa.
Karibuni sana Vina Hotel Ltd kwa mapumziko yenye tija.
 

umerudi unakimbia ukasahau kujibu maswali ya wadau, bei za vyumba n.t.c ni jambo la msingi saana.
 
umerudi unakimbia ukasahau kujibu maswali ya wadau, bei za vyumba n.t.c ni jambo la msingi saana.

VINA HOTEL ROOM TARIFF

Room Category & Rate
Deluxe Room 70,000.00

Superior Room 50,000.00

Standard Room 40,000.00


RATES, RESERVATION AND OCCUPANCY POLICY:
All rates are inclusive of breakfast and Government taxes, All rooms can accommodate a maximum of two adults, Children below 12 years of age stay free in parent's room, Check in is 12h00, unless there is an available room upon your arrival, Check out time is 10h00, Non arranged late checkout will be subject to full room charge.
Non residents are settling their accounts in foreign currency or local currency in equivalent to the day's ruling rate, Confirmed reservations is a guaranteed reservation by a Company Local Purchasing Order or cash deposit and guarantee full rate charges in case of no show without two days prior cancellation.
VALUE ADDED SERVICES (VAS):
24 hours reception and room services, 24 hours security and closed circuit surveillance, Secured car parking lot, Standby Automatic Power Generator ü Gymnasium, Business Centre and Wi-Fi Broadband internet, Laundry, Dry Cleaning and Valet Services. Pick up and Drop off Transfers.
 

Big up Vina for such a wonderful marketing stratages. We'll be there soon!
Try to give the actual physical address.
 

Like it! I need location soon please.
 
oky asante kwa kutuhabarisha sasa unaweza kutuona romtanzania.com kwa deal zaidi
 
sasa weka hizo picha nitakutafutia tender za maharusi
 
mhindi kaivamia JF
Imani potofu. Kwa nini Watanzania weusi tunajidharau?
Hii hotel ya Nshomile mmoja wa Izimbya-Bukoba. Jamaa fedha anayo ila anakosa kuwa karibu na watu wenye mipango makini na hiki kitegauchumi kinamgharimu kwa sababu hakushirikisha wataalamu mwanzoni
 
samahani kama nitakuuzi bei ya local beer ni shilingi ngapi?
 
Bwana Amplitus,

Naona we bado mgeni na masuala ya e-Marketing. Wacha nikusaidie kuweka picha



It's common for colleagues & age mates, friends & ex friends to meet on weekends ringing a bell back of those ages, only at the unique rooftop Mawenzi Summit, at Vina Hotel Ltd. Hope you'll never miss such a festivity of its own kind this weekend, Karibu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…