teh teh ndivyo ilivyo. Kwa mfano unamtongoza mdada unayejua anapenda wanaume wenye usafiri au gari alafu unamweleza ukweli kuwa huna hata gari, teh si atakukata Kaaaah na kibuti puuuuh! Lakini ukiingia na swaga za gari la best yako kwa cku chache tu ulishamaliza kazi. Kauongo wanakapenda japo hawajui kama wanakapenda!
75% a man is physical attracted, other factors take the remaining 25%. Usiamini anaekwambia tabia nzuri is foremost....deep down akija dada mrembo anasahau yote hayo.