Wadangaji wameongezeka maradufu (2016-2018)

juzi demu kaniomba 30 anitunuku, nikamwambia aje geto Nina 4000 nimle kimoja, ilikuwa nadhani Mimi namtania. baada ya SAA nasikia mlango unagongwa. hapo msela naenda kufungua namkuta binti amekuja. hata sijapiga mswaki. nikaenda kuoga faster. ile kurudi geto manzi anacheki BBC akanambia niache ubahili akasema atanipa kimoja tu. cha kushangaza nimemkaza hadi asubuhi nikampa Na buku 4 yake.



Malaya wapo wengi sana, ni wengi sana. kwa sasa nimekuka dili Na washona nguo ili anaeshindwa kumalizia kulipa namlipia kwa sharti la kumla.


ova
 
Mbona huku kwetu hawapo?
Ninaspend mwenyewe tu labda niende nikanunue buguruni au manzese
 
Ukiwaambia ukweli wanasema wanaume hawana hela. Ukweli ni kuwa hakuna mwanaume atadumu na slay queen.
Hata kama mwanaume anapesa.. mqanamke ukishaanza kuonyesha tabia za udangaji mwanaume anakuona malaya. Anakutema
Kudanga ni ufanya nini? Naomba ufafanuzi wa kina.... kama hutajali ..... Hili neno huwa naliona tu ila silielewi maana yake. Asante.
 
Ulichoongea ni kweli alafu utumii nguvu kubwa
 
Lazima wadangaji watafute shughuli nyingine halali awamu hii
 
mkuu hii ni kweli kabisaa yaan imekua kama sifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…