and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,225
- 39,712
Lisemwalo lipo.
Wasomi wengi hawana kazi.
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani SUNNA.
* Wadangaji wengi hupendelea ngozi nyeupe (hasa Waarabu na Wachina).
** Ustaraabu jambo la bure unadanga unajitoa ufahamu kama mtoto wa kindergatten ukiuliza umeona Wallet imetuna (mimacho imekutoka kama hujawahi ona Wallet) asee mtakuja kuumbuka kwa kukopwa. Wavimba mamcho si watu wema.
Ninakuomba kwa jina la imani ya dini ninayoifuata mimi acha kutumia neno ambalo sisi tunalitumia katika ibada zetu !! Nakuomba sana .Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani SUNNA.
* Wadangaji wengi hupendelea ngozi nyeupe (hasa Waarabu na Wachina).
** Ustaraabu jambo la bure unadanga unajitoa ufahamu kama mtoto wa kindergatten ukiuliza umeona Wallet imetuna (mimacho imekutoka kama hujawahi ona Wallet) asee mtakuja kuumbuka kwa kukopwa. Wavimba mamcho si watu wema.
Hili neno "SUNNA" umelitumia kwa maana ipi hapo?Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani SUNNA.
* Wadangaji wengi hupendelea ngozi nyeupe (hasa Waarabu na Wachina).
** Ustaraabu jambo la bure unadanga unajitoa ufahamu kama mtoto wa kindergatten ukiuliza umeona Wallet imetuna (mimacho imekutoka kama hujawahi ona Wallet) asee mtakuja kuumbuka kwa kukopwa. Wavimba mamcho si watu wema.
Nipo mzeee, sana tuuu ..The jackalMkuu upoo. Mbona kimya sana
Nipo mzeee, sana tuuu ..The jackal
Hahahaha mkuu acha kabisa...nmebanwa uku balaaaa .Sijusomi mkuu .. mamalai amekubana nn. Maana umekuwa kimya vubaya mno
Mishe vipi lknSijusomi mkuu .. mamalai amekubana nn. Maana umekuwa kimya vubaya mno
Unajua maana ya kudanga ????Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani SUNNA.
* Wadangaji wengi hupendelea ngozi nyeupe (hasa Waarabu na Wachina).
** Ustaraabu jambo la bure unadanga unajitoa ufahamu kama mtoto wa kindergatten ukiuliza umeona Wallet imetuna (mimacho imekutoka kama hujawahi ona Wallet) asee mtakuja kuumbuka kwa kukopwa. Wavimba mamcho si watu wema.
Hhahaha ndio maana. Mwambie mama alegeze vyuma aiseeHahahaha mkuu acha kabisa...nmebanwa uku balaaaa .
Unaweza pewa talaka kisa JF