Wadada wote karibuni darasa la wakubwa.

Kwa wasiopenda deodorant, kwenye Nadia ya dawa za asili wanauza jiwe la chumvi.
Kungwi wao, mie kama mtu wa afya.,, siwashauri kabisa kutumia izo mambo uko chini ...

Zinakuponya kiakili na kuamin kwamba jamaa atafurahia. Ila kwa matokeo ya muda mrefu, utajikuta hauishwi kuumwa uko chini ..yaan mi fangasi nawewe...mi bakteria naww .. Ndo ile unasikia

"demu wangu anatoa harufu mbaya keini , nahata wewe mwenyewe mwisho wasiku sababu ya Kuumwa uko chini., hata ngono yenyewe hutoifurahia".


Kuunga, nyie ungen tu lkn tutakutana .
 
Haya sasa wanawake mtayaweza hayo?

Kunifutafuta mpaka mapumbu hahahahaa, sipati picha mtoto umeinamisha shingo kwaumakini ukinifuta mapumbu, ila sasa muwe mnatufuta taratibu maana hiyo nisehemu sensitive
 
Nilimaanisha makwapani, huko kwa bibi ni plain water
 
Kuomba Mungu tu Haya mambo mpenzi wangu!!!mapenzi hayana formula Fanya timiza wajibu ila usiweke garantii kua sitaachwa kwa kua nafanya hivi
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]dah
 
Nitajuaje kama nipo au sipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…