Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Shuka ziwe safi, sperms zinaacha michoro kwenye shuka. Badilisha asubuhi na ikiwezekana ziloweke au fua kabisa. Ukiziacha zinafubaa.Nimekuelewa kwingine
Lakini hapo sperm zikidondokea kwenye shuka badilisha kitanda bado nahitaji muongozo
Unataka unitongoze?Embu ngoja kwanza.
Mtoa mada wee ni mwanamke??
Ukiwa fundi anaweza kurudi kama huko alikokwenda kakuna ujuzi wa ziadaKuachwa hakuangalii hayo, utayafanya na utakuta mwenzio anamsinga na kumuogesha bibi weehh!!!
Ukiujua huu wenzio waujua ule[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]
eehh kama ni mwanamke ni kutongoze .Unataka unitongoze?
Sasa utamtolea mahari na kuoa mtu usiye mpenda ili iweje?Hata ufanyeje kama sikupend unajiangaisha tuu,..
Ujue wanawake nyie hamuelew kitu ki1,sis wanaume sometime tunakua na nyie kupunguza ugum tuu sio kwamba tunawapenda kiivyo,so
Kama hauko moyon hayo yoote ni KAZI BURE bint.
N.b,..unaweza ukawa mrembo saana,ila kama hauko moyon ni kaz bure
Vipi kuhusu douching?Mnaachwa kwa uvivu wenye. Mtoto wa kike hatakiwi awe mvivu.
1. Kitanda kitandikwe na kivutie kila wakati. Kama unaenda kazini hakikishaeumetandika kabla hujaondoka nyumbani. Shukawzifuliwe mara kwa mara. Spermwzikodondokea kwenye shuka badilisha kitanda.
2. Ni mwiko mtoto wa kike kunuka jasho. Oga na upake deodorant. Kuna jiwe la chumvi kwa wale watu wa natural care, unalipaka maji kidogo na ukilipaka kwapani Lina dhibiti harufu ya jasho.
3. Kiuno mama kizungushe, mwanaume moire juu mshuke wote chini, akikojoa mfute na upande wa khanga, zile khanga nyepesi zina shughuli nyingi. Asubuhi ifue khanga vizuri na ukiweza ipige pasi jioni kabla hujaenda kulala iwe tayari kwa kazi yake.
Mwanaume amekwenda round tano usiku, asubuhi Miwani kwa breakfast ya nguvu. Weekend au kama huendi kazini mtengenezee supu au roast ya maini.
Lakini umeweka manjonjo yakoKuachwa hakuangalii hayo, utayafanya na utakuta mwenzio anamsinga na kumuogesha bibi weehh!!!
Ukiujua huu wenzio waujua ule[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]
Washing is done by plain water no soap should be included. You can use warm salted water but that’ is it.Vipi kuhusu douching?
Duuhh hii achen, inawapa magonjwa bila kujua.Vipi kuhusu douching?
Hususan hapo anaposema, akikojoa, mfute kwa ukanga.Mkuu Uzi umekosa picha
Wanasema inasafisha ukeDuuhh hii achen, inawapa magonjwa bila kujua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzi unabembea hauna picha huuHususan hapo anaposema, akikojoa, mfute kwa ukanga.
[emoji23]
Sorry ma'am jiwe la chumvi ndiyo lipi?!? Sijaelewa hapoMnaachwa kwa uvivu wenye. Mtoto wa kike hatakiwi awe mvivu.