nilisikitika TAG yangu ilikatika nikaiunga na supague
nlitoka Songea to Mtwara kwa nauli ya Bosi wangu🙁🙁
Si hainaga jina? nipatie mkuu maana inanipaga nguvu sana kitaaNikupatie yangu bado mupya mkuu
Zipost hapa watakaotaka wadownload 😂😂O'hare= Chicago,Illinois
Ord= Orlando,Florida
Nitafute mkuu nikupatie ninazo za :-
Atlanta, Detroit, Orlando, Dallas, Charlotte, LaGuardia, JFK, Newark, Iceland, Toronto, Amsterdam, Dubai, Guangzhou, London, Kilimanjaro, Ethiopia, Nairobi, Rome,Frankfurt, Dar es Salam .
Kiduku Lilo jr
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuna siku nilikaa kijiwe na machali sasa kuna chali mmoja akanita kona, akaniuliza hivi inawezekana kupata namba za US au ulaya?. Nikamwambia ndio nikamfahamisha jinsi ya kuipata mara namsikia yupo kwenye cm anasema nipo majuu nikirudi nitakupigia. Aahh nilishanga kweli😂Zipost hapa watakaotaka wadownload 😂😂
Kuna siku nilikaa kijiwe na machali sasa kuna chali mmoja akanita kona, akaniuliza hivi inawezekana kupata namba za US au ulaya?. Nikamwambia ndio nikamfahamisha jinsi ya kuipata mara namsikia yupo kwenye cm anasema nipo majuu nikirudi nitakupigia. Aahh nilishanga kweli[emoji23]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
tena kwenye KIBEGI CHA MGONGONI😎Ulikaa nayo mpaka ikafutika