Shairi zuri hili! Ngoja nitengenezee muziki!Yaani wakitembea wanatingisha!!!
Yaani wanasema wanapunga hewa
Au wanaonyesha uumbaji Wa maulana!
Mitikisiko ya pwani hii jamani!
Halafu unakuta kaumbika mtoto mashalaa!
Unapishana nae unatamani kumgusa walah!
Piga picha ndani ya mwendokasi upo nyuma yake mmeshika bomba!
Hivi kuna wanaume wasiovaa boxer!
Unapenda wadada wasiovaa kufuli au
Jamani wadada Wa hivyo mtuhurumie! Eee!
Hongera bila shaka hiyo kesho tutaungananapasha kidogo
Hongera bila shaka hiyo kesho tutaungana
wewee unastahili kuwa mke wangu...
inabidi nianze mchakato waallah nimekupenda ghafla...
Acha usenge jiheshimu
Usije ukaniambia hujavaa kufuli mazoezi hayatafanyikaPoa ngoja nami niandae kabisa
Haa haa tuachaUsije ukaniambia hujavaa kufuli mazoezi hayatafanyika
Haa haa tuachahuku nimevaa track duu si itakuwa hatari
Sio tuwe sambamba au nyuma yangu kidogolabda nikuache nyuma umbali kidogo mi niwe mbele maana ukitangulia itakuwa shida
Aah wee itakuwa ngumu sana we huoni hawaSio tuwe sambamba au nyuma yangu kidogo?
Huyo naye angeshusha kapelo lake tu mambo yangeishaAah wee itakuwa ngumu sana we huoni hawa
Huyo jamaa anavyoshangaa msambwanda lazima alitoka nje ya barabaraHuyo naye angeshusha kapelo lake tu mambo yangeisha