Wadada wasiovaa makufuli!

Hapo sawa wewe unatafunika na mifupa kabisa
wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapi
 
wembamba ukizidi duu mmm na bonge naye mmm ila bonge unaweza fanya mazoezi ila wembamba mmm wanakula hao na sijui chakula kinaendaga wapi
Unatakiwa uwe na mwili wa size ya kati ukipakatwa unapakatika vizuri
 
Kuna kaka alikuwa hapendi mwanamke mwenye nido kubwa utazani kabeba zajirani sasa kilichokuja kumpata mwenyewe anashangaa kubwa kuzidi
mkewe huyo anampeleka wapi!
Haahaa huo mtihani
Ayatafutie matumizi ili ayapende ubunifu ktk mahaba!
 
Mie niliwahi ambiwa anza mazoezi nikasema sawa halafu nataka kuwa mwembamba kama fulani, jibu lake uingie nyumba ya nani mwili gani ule
ikabidi ujiachie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…