Wadada wanaovaa madera

Hi nyeg aise, live
Zktk utakasawa ndug
 
NA Mimi nikiona Dera naxhanganyikiwa
 
Napenda wavae dera flani zile zinarange 20k - 30k,

Hata hizi za afu tano nzuri Ila wavae underskirt ndani wanakaa poa sana,

Ila wale wanaoyachomekea kiunoni kwenye pant, ushenzii
 
Kuna ile staili ya kulibana kwa kulichomekea kwenye chupi, ebwaanaee hiyo staili huleta mzuka kimahaba
 
Ila kweli demu mwenye vitu vyangu navyovipenda akitupia dera akakatiza mtaa lazima anichanganye kichizi
Oya kuna wale wapo flani hiviii๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ