Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,977
- 14,482
tandaleWapi hiyo Boss?😎
Pita riverside pale karibu yao anaweza kukuvuta mkono!Wapi hiyo Boss?😎
yah ni mmoja kati ya wateja na sijaona tatizo lolote apo zaidi ya kujipa umuhimuWewe bila shaka utakuwa unapita mitaa yao maalumu wanapofanyia hiyo biashara haramu. Sidhani kama wanafanya hivyo kwa kila mtaa
Umesema nilichotaka kusema. Ukereke kwa vumbi ilihali umeingia store mwenyewe?Wewe bila shaka utakuwa unapita mitaa yao maalumu wanapofanyia hiyo biashara haramu. Sidhani kama wanafanya hivyo kwa kila mtaa
Badilisha njia mkuu, Shetani hana aibu, anafanya lolote.Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna,unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya? Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani! Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.
Dah basi mimi naonekana broke a$$ negro.Pita riverside pale karibu yao anaweza kukuvuta mkono!
upwiru manake nini?Ni kero ya kawaida sana hasa kwa sisi watakatifu wa hapa MT Andrewe, anyway tumeshawazoe na wabarikiwe sana kutupunguzia upwiru na shida za ulimwengu.
Udambwi dambwi.upwiru manake nini?
Wewe ulipita kufanya nini huko hakuna njia zingine mpaka upite huko? Watoto wengine mnakua vibaya kweli, nakuita mtoto sababu umeandika km upo kindergarten ukiona Vunga kwani lazima utangaze?Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu?
Huu ni ushauri wa kichungaji kabisa.Badilisha njia mkuu, Shetani hana aibu, anafanya lolote.
NIMEJISIMIKA RASMI UUNGU. KWAANZIA LEO MIMI NI MUNGU WENU LAZIMA MNIABUDU. HAYA INAMISHENI MIBICHWA YENU CHINI NA VIJAMBIO VYENU JUU NA MSEME KWA PAMOJA LOOSE NUT AKBAR!Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna, unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya?
Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani!
Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.