Wadada wa mkoani hawajiongezi

Wanawake wa mkoani wanajiheshimu, kwao sex sio biashara bali ni mapenzi. Sijasema wa Dar hawajiheshimu
 
aaah sasa ukute ndo umeshampenda ukazingua na asirudi tena
Asirudi tuu jamani...
Hawa wanaume wanaotoka Dar lengo lao akukule aondoke... Hebu fikiria kila mmoja akikukula akaondoka inakuwaje hapo
 
Kasie rate yao ikoje siku hizi hapo? huduma zao zipo poa au vipi? Mi huwa napenda sana kufikia Vizano breakfast yao asubuhi ipo njema sana...daaah siku nyingi asee.
 
Kasie rate yao ikoje siku hizi hapo? huduma zao zipo poa au vipi? Mi huwa napenda sana kufikia Vizano breakfast yao asubuhi ipo njema sana...daaah siku nyingi asee.

Imepanda kidogo sijauliza haswa kwa sasa ni shilingi ngapi sababu kadi iliyotumika ku swipe sio yangu, mie nimejua kunyanyua fito tuu za Singida Ddodoma ma ma ma ma..... hehehehehee

Hata hapa breakfast iko vizuri huwa nawamalizia juice asubuhi, maji napambana nayo mchana maana najua usiku nakamuliwa yooteee hehehehehehehehheee (K' Matata mie looh)

Visano sipafahamu.
 

HAPPY NEW YEAR MAMII!!!!
 
Kuna kipnd nilienda kwanza nikampenda mdada mmoja mkali sana nilimpga sound ndani week ndo akaja nipa papuchi sema na yeye alinielewa kimtindo ndo mana aliwahi kunipaa
 
Niko gold crest pia mkuu..... Nimeingia mda sio mref..... Hope to have dinner with you if you don mind
Njoo Gold Crest, ukilala hapa siku 2, utawapata ambao wanakuja bila kitu ndani. Ila andaa noti tuu.

Nna wiki sasa hapa, naona movement zao zote.
 
Njoo Gold Crest, ukilala hapa siku 2, utawapata ambao wanakuja bila kitu ndani. Ila andaa noti tuu.

Nna wiki sasa hapa, naona movement zao zote.
Wamebadilisha vitu vilivyochakaa nilienda pale nikalala siku kadhaa kweli nimependa chumba ila kwa choo shower ilinipatia shida ile fupi yakushika kwa mkono.
Haitoi maji ile shower ya juu inamwaga maji kila mahali halafu maji yametapaka choo kizima nikazi.
Ila chakula sio mbaya sana .
Ila hotels zingine wako sawa ni fresh sana tulipohamia kwingine.
 
Sisi wa namtumbo tutabaki kuwa wa namtumbo tuu mkuu! Sio sababu eti umetoka Dar ukimsalimia tuu mdada akufuate jioni! HAPANA tushazoea kuzungushana miezi na miezi
Sasa miezi na miezi unamzungusha wakati mtu kaja kwa wiki 1 tu
 
Akili yako ndiyo ndogo. Wewe ndiye wa kujiongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…