Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Kimsingi kuongelea mazuri ama mabaya ya mpenzi/mume sio jambo zuri
Unamuongelea kwa marafiki ili iweje?
inawezekana ni Mimi ndio walitaka kuniibaMkuu inaonekana imekuuma sana au dadako kaporwa bwana nini??
VITU VINGINE NI ULIMBUKENI MKUU, MASUALA YA MAHUSIANO NI KATI YA WAWILI WALIOKO KATIKA MAHUSIANO HAYO. MASUALA YA KUANIKANA KWA MARAFIKI SIDHANI KAMA NI JAMBO JEMA KIUKWELIinawezekana ni Mimi ndio walitaka kuniiba
poa mkuu. Nimejifunza kituVITU VINGINE NI ULIMBUKENI MKUU, MASUALA YA MAHUSIANO NI KATI YA WAWILI WALIOKO KATIKA MAHUSIANO HAYO. MASUALA YA KUANIKANA KWA MARAFIKI SIDHANI KAMA NI JAMBO JEMA KIUKWELI
Huuu ni uchoyo, ratio ya wanaume na wanawake hauja balance kabisa, wanawake wengi mnoNimependa kichwa tu.... ukweli ndio huo,sasa hivi wanawake ndio wanakaz ya kutongoza ili kupata waume. Wanaongoza pia kwenda kwa waganga kutafuta wachumba au kuwafunga walionao wasitoke nje
Mkuu uwe una specify,wadada wa wapi,me nlipo sjaona taboa hizo na nipo hapahapa africaSiku hizi maisha yamebadilika yani kila kona wadada kibao. Unakuta wengine mpaka wanasubiri au wanavunja huusiano wa watu ili wapate wao.tena wakisikia unavyomsifia mwanamme wako hapo ndio umeumia wanaanza uchonganishi maana umewapiku. Dada ukiwa na mwanamme wako anakupenda jifunze kutunza siri zake tena za mazuri anayokufanyia. Mabaya ropoka tu kwa rafiki ata watu
Aisee!Kwa ulimwengu wa sasa hayo mambo yapo sana na sio wanawake pekee na huwa saa nyingine ni wivu tu wa kuona aliyepo pale anafaidi na pia wapo ambao ndio tabia zao hizo ambazo huwa hazibadilishiki.
Ila cha ajabu wakishafanya hivyo sasa hamnaga cha maana kinachoendelea hapo na mwisho wa siku yanawashinda wanaenda kuharibu pengine.
itakua bado mvulana, ukishakua mwanaume utaona tuMkuu uwe una specify,wadada wa wapi,me nlipo sjaona taboa hizo na nipo hapahapa africa