Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jun 24, 2011 #41 Eiyer said: Shangazi we mkali!Inamaana sina anko mbongo!!Ila hao inaonekana walikuwa full romantic!Mpaka anaemiliki muda huu!!!! Click to expand... Anaemiliki nini???GARI?!NYUMBA?!SHAMBA!? Mi siwezi kumilikiwa....
Eiyer said: Shangazi we mkali!Inamaana sina anko mbongo!!Ila hao inaonekana walikuwa full romantic!Mpaka anaemiliki muda huu!!!! Click to expand... Anaemiliki nini???GARI?!NYUMBA?!SHAMBA!? Mi siwezi kumilikiwa....
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,152 Reaction score 9,268 Jun 24, 2011 #42 hahahaaha lol si jibu nsije nkatolewa nundu bure lol
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jun 24, 2011 Thread starter #43 Lizzy said: Anaemiliki nini???GARI?!NYUMBA?!SHAMBA!? Mi siwezi kumilikiwa.... Click to expand... Si anaemiliki hilo gari!Au wajifanya hujui shangazi?
Lizzy said: Anaemiliki nini???GARI?!NYUMBA?!SHAMBA!? Mi siwezi kumilikiwa.... Click to expand... Si anaemiliki hilo gari!Au wajifanya hujui shangazi?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jun 24, 2011 #44 Eiyer said: Si anaemiliki hilo gari!Au wajifanya hujui shangazi? Click to expand... Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli!
Eiyer said: Si anaemiliki hilo gari!Au wajifanya hujui shangazi? Click to expand... Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli!
Braniac Senior Member Joined Aug 17, 2010 Posts 151 Reaction score 6 Jun 24, 2011 #45 Ulimakafu said: Nilikuwa napita tu. Click to expand... Usirudi tena.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jun 24, 2011 Thread starter #46 Lizzy said: Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli! Click to expand... Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi!
Lizzy said: Gari lipi....?!Mi naendesha baiskeli! Click to expand... Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jun 24, 2011 #47 Eiyer said: Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi! Click to expand... Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima!
Eiyer said: Shangazi bwana,haya nisije ambiwa nimekuvunjia heshima bure,ila msalimie anko,nampa tano kwa kuweza kuula mfupa uliomshinda fisi! Click to expand... Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jun 24, 2011 Thread starter #48 Lizzy said: Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima! Click to expand... Aaaah,shangazi sory lakini usimwambie anko!Atanipiga marufuku kuja kula mchana hapo home na ninakujua kwa utaalam wa kupika!
Lizzy said: Khaaaa!!!?Huko sasa nadhani ndo kuvunjiana heshima! Click to expand... Aaaah,shangazi sory lakini usimwambie anko!Atanipiga marufuku kuja kula mchana hapo home na ninakujua kwa utaalam wa kupika!