zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mungu alivyoumba Dunia aliliumba na JuaJe wanaoishi vijijini pasipo na umeme
kama hakuna umeme wafanyaje sasaAisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu.
Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama baada ya matatizo au shida ,ni wazi kabisa kutongoza au kutongozwa gizani ni laana na mtaishia kuchezeana tu.
Jambo jema hufanyika Nuruni yaani kwenye mwanga kabisa na wala si kujificha ficha utafikiri mnapanga mipango ya kuiba.
Dada ,kaka amkeni acheni kulitumia giza kama ndio kirahisishi cha kudanganyana.
watumie tochi, jamaa anapiga sound demu awe busy anammulikaJe wanaoishi vijijini pasipo na umeme