Kuhonga na kutoa katika hali ya kawaida in essence tendo ni moja..shift of ownership kutoka kwa mwanamme kwenda kwa mwanamke done by mwanamme. utofauti unakuja kutokana na kwa nini mwanamme katoa.
Mwanamme anapotoa kwa mapenzi yake akiwa na lengo la kumfurahisha mpenzi wake akiwa hana presha hapo katoa kikawaida
Lakini anapotoa aidha kwa shinikizo la kimapenzi kutoka kwa mpenzi wake au anapotoa huku akijua kuwa kutoa ndo kitu pekee kitakachomfanya msichana aendelee kukaa kwake hapo ndo tuna kuja na term "kuhonga"
Wa jinsia ya kiume tuna matatizo at tyms.. Umlale mtoto wa watu usimpe hela ya sabuni ajisafishe je ni sawa...!? Ukiwa mbinafsi kaa peke yako acha upimbi ili wenye kujua kugawana walee mademu zenu mbaki mnaitwa shemeji
mwamaume lazima uchunwe/uhonge/ugharamikie.............hata wanyama na ndege ni mahayawani but jogoo lazima aite mtetea,,,, akibofyabofya pale anachutama mwenyewe,,, jogoo lajikunja na kujinyoosha shwariii......hatukwepi hili.......
Kwa mazingira kama haya dada zetu watatumika kama toileti paper maana wanakosa uwezo wa kuwa na kuwa na maamuzi Katika mahusiano kwa sababu tu akipata kidume anafikiria kuhongwa vitu vya gharama na anaweka akirini mwake kuwa amepata pa kuchuna kuwa na mawazo kama haya ni hasara mbeleni ndo mwisho wa siku wanalalamika hakuna wa kuwaoa kumbe msingi wamejiharibia wenyewe