"Mkuu siku hizi hawazeeki, wanakufa bado vijana"Umewashauri vizuri, maaana wanakujaga kuzeeka vibaya huku urembo wao ukiwa umeisha na hela wala kitega uchumi chochote hawana. Papuchi zao zinashuka thamani kadri umri unavyosogea n vyema wakawa makini na haya maisha maana majuto n mjukuu
kikishafika kipindi cha kukopwa na wao kununua na hela hana inakuwa shida sana.kipindi ambacho akipita hakuna mwanaume anayegeuka au kusalimia.pia.mkwanja unamfanya madam aonekane serengeti.Umewashauri vizuri, maaana wanakujaga kuzeeka vibaya huku urembo wao ukiwa umeisha na hela wala kitega uchumi chochote hawana. Papuchi zao zinashuka thamani kadri umri unavyosogea n vyema wakawa makini na haya maisha maana majuto n mjukuu
Mwanaume ukiishiwa baada ya kuwa na mihela utasikia watu wanavyoeleza kuwa ulimaliza hela zako kwa kuhongo wadada! ajabu wadada wenyewe hali zao kifeza hazibadiliki!.kila siku mizinga dhiki zao haziishi! Usipokufa mapema hali itakuweje huko mbele.ulishatumika umekwisha kazi,hela huna!"Mkuu siku hizi hawazeeki, wanakufa bado vijana"
Na kasi ya kudondoka under 40 inakuwa kwa speed ya 4g"Mkuu siku hizi hawazeeki, wanakufa bado vijana"
Umemaliza yote ndugu.Matumizi;
1.Smartphones.
2.Saluni.
3.Viwalo(nguo)
4.Vipodozi.
5.Chakula.
6.Uwekezaji.
Kwenye namba 6 hapo kuna wanawake wameweza kufungua biashara kubwa kubwa na wengine wamejenga nyumba za maana kutokana na biashara ya ngono.
Hela za haramu siku zote hazidumu,ni kama laana vile,ndio maana jambazi kila siku anaiba lakini hawezi kuwekeza mtaji akafanya cha maana akaacha ujambazi,same as machangudoa bubu and the likes.Wekezeni hizo hela zenu za haramu angalau njaa zenu zipungue! Fanyeni vitu vya maana viwe kumbukumbu ya biashara yenu isiyo rasmi.
hao ni wachache sana wanaojitambua!.wengi wanakwama kwenye namba 3! kuna mdada maarufu miaka ya nyuma kidogo aliachwa na mumewe kwa makosa ya kuchepuka na vigogo! ajabu wakati kuondoka kwa mumewe canter ilijaza nguo tu.lakini hakuwa na vitega uchumi! hamjifunzi kuwa kuna siku ya kujaribiwa kwenu?!!Matumizi;
1.Smartphones.
2.Saluni.
3.Viwalo(nguo)
4.Vipodozi.
5.Chakula.
6.Uwekezaji.
Kwenye namba 6 hapo kuna wanawake wameweza kufungua biashara kubwa kubwa na wengine wamejenga nyumba za maana kutokana na biashara ya ngono.
kweli wangu!.inakuwa starehe mwanzo mwisho kwakuwa mtu anajua kesho akitoka na kurudi ni mihela tu.Hela za haramu siku zote hazidumu,ni kama laana vile,ndio maana jambazi kila siku anaiba lakini hawezi kuwekeza mtaji akafanya cha maana akaacha ujambazi,same as machangudoa bubu and the likes.
Tuwataje marehemu wetu kwa wema,huenda mola akawafanyia wepesi huko waliko.RIP our sis.hao ni wachache sana wanaojitambua!.wengi wanakwama kwenye namba 3! Kuna mdada maarufu miaka ya nyuma kidogo aliachwa na mumewe kwa makosa ya kuchepuka na vigogo! ajabu wakati kuondoka kwa mumewe canter ilijaza nguo tu.lakini hakuwa na vitega uchumi! hamjifunzi kuwa kuna siku ya kujaribiwa kwenu?!!