M Mgunda Jr Member Joined Aug 11, 2013 Posts 31 Reaction score 45 Aug 2, 2025 #1 Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana.
Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,279 Aug 2, 2025 #2 Ngoja waje
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 5,606 Reaction score 10,157 Aug 2, 2025 #3 Hiyo nikampuni moja huenda , wameamua kutumia gari za aina hiyo
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,584 Reaction score 23,572 Aug 2, 2025 #4 Me dereva wao niambie shida yako nimuelekeze hapa huyu macho madogo niko nae
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,120 Reaction score 16,966 Aug 2, 2025 #5 Kwa mujibu wa sheria mpya hao wachina hutawaona Tena wakifanya hiyo biashara,
Chinchiler JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 2,558 Reaction score 3,194 Aug 2, 2025 #6 Mgunda Jr said: Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana. Click to expand... Una pesa tukuletee Bonanza je unataka ya kununua iwe Yako au yakuchezesha
Mgunda Jr said: Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana. Click to expand... Una pesa tukuletee Bonanza je unataka ya kununua iwe Yako au yakuchezesha
M Mgunda Jr Member Joined Aug 11, 2013 Posts 31 Reaction score 45 Aug 2, 2025 Thread starter #7 Medecin said: Me dereva wao niambie shida yako nimuelekeze hapa huyu macho madogo niko nae Click to expand... Seriously Kaka nipe no tuwasiliane
Medecin said: Me dereva wao niambie shida yako nimuelekeze hapa huyu macho madogo niko nae Click to expand... Seriously Kaka nipe no tuwasiliane
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 16,320 Reaction score 23,021 Aug 6, 2025 #8 Mgunda Jr said: Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana. Click to expand... Madubwi yote yapo chini ya mdogo wake aliyekuwa MNYIKULU wa JK
Mgunda Jr said: Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana. Click to expand... Madubwi yote yapo chini ya mdogo wake aliyekuwa MNYIKULU wa JK