<br /> <br / kwahiyo wachina wako juu ya sheria mana wao ndo wameanza kutembeza kichapo??watanzania wenzangu tumeanza matendo ya ubaguzi wa rangi,dini na mwisho itakua ukabila.hawakupaswa kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu aliyewaibia,na haikua sawa watanzania wenzangu kujichukulia sheria mkononi kuwapiga wachina.tukumbuke na sisi tunao watanzania kibao nje ya nchi,wakifanyiwa hivi tutafurahia? Tafakari.
<br />watanzania wenzangu tumeanza matendo ya ubaguzi wa rangi,dini na mwisho itakua ukabila.hawakupaswa kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu aliyewaibia,na haikua sawa watanzania wenzangu kujichukulia sheria mkononi kuwapiga wachina.tukumbuke na sisi tunao watanzania kibao nje ya nchi,wakifanyiwa hivi tutafurahia? Tafakari.