Hebu tutolee utopolo wako...hivi ww huwa unajielewa kweli? Ikiisha mechi unakimbizana kuanzisha uzi kuhusu wachezaji wa Simba...hivi ww ni wa kumsema Manula leo...una inferiority complex...unaanzisha mada ili uwahi kuficha madudu ya upande wa pili...
Manula Pale angefanyaje? Unajua mpira kweli? Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Shenzi
Hujawaona vyura wenzio?? Hebu acha kujidhalilisha mkuu....mechi ya leo ungekua na akili ungenyamaza kimyaaa sio kukimbilia kuanzisha thread...ambacho ungediscus ni hizo back passes tuu wote tumeangalia mpira acha kuongea uyanga yanga wako hapa...na wote walikua hovyo kwny kurudisha mipira kila mara..Madudu gani , sema
Kwani ni uongo, wachezaji wa SSC ndio wanaiua timu ya Taifa
Mpira wao ni slow na kurudisha Nyuma
Hata Samata kaharibu movement nyingi sana
Pumbavu wewe,hujielewi.
Tukianza kusema za Yanga tutakuwa tunatupiana mpira tu.
Kwa kukujuza tu, Mudathir Yahaya alishindwa kummark Patson akaruka juu freely na kutundika bao..
Tusiongee swala la Mwamnyeto kufanya makosa ya hovyo, na kwa uhodari wa Manula akatuweka salama.
Wachezaji wote wa Stars ni wapumbavu. Hawajielewi.
Tshabalala kwa back passes upo sahihi.
Samatta ana ujinga mwingi mno. Ila yeye pia ndiye katoa pass ya bao.
Msengerema wewe.
Sina shaka mleta Uzi ni mlozi mtu wa kawaida hawezi fanya hii kituKuna mstari mwembamba mno mkuu kati yako na walozi wenye wivu watu wa hivi mnakufaga vifo vibaya sana
Utamia nguvu kubwa halafu unakuta mtu mwenyewe ni form four leaver tena kapiga div. 4 yupo kwa shemeji yake anatuumiza vichwa watu na akili zetu. Dada ake akiachwa na yeye ameachwa😂Hujawaona vyura wenzio?? Hebu acha kujidhalilisha mkuu....mechi ya leo ungekua na akili ungenyamaza kimyaaa sio kukimbilia kuanzisha thread...ambacho ungediscus ni hizo back passes tuu wote tumeangalia mpira acha kuongea uyanga yanga wako hapa...na wote walikua hovyo kwny kurudisha mipira kila mara..
Hawa ndo wale wanatafuta pa kutemea hasira zao...Utamia nguvu kubwa halafu unakuta mtu mwenyewe ni form four leaver tena kapiga div. 4 yupo kwa shemeji yake anatuumiza vichwa watu na akili zetu. Dada ake akiachwa na yeye ameachwa😂
Hakuna haja ya kubisha na huyu uto ana stressAAh kumbe
Hawa ndo wale wanatafuta pa kutemea hasira zao...