Multdealer
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 226
- 233
Wanachokosa ni exposure tu ya soka la ulimwengu.Umeongea point... Tuna maviongozi mabaguzi hasa hili limwakyembe ndio lilipendekeza.
Kweli kabisa, boss. Yani point yangu ndiyo ipo hapa.hawa huwa wanaiga sababu timu ya taifa inachukua wachezaji wachache mno kwa hiyo si kila mchezaji anapata bahati ya kuchezea timu ya taifa
Kweli kabisa bossitakuwa sio fea kabisa
Hili nalo ni jambo la kujiulizaItakuwaje kama mchezaji kipindi kasajiliwa yupo katika national team, wakat akiendelea na mkataba akatemwa na timu ya taifa.. Je TFF watazilazimisha timu kuvunja mkataba
Nafukiri TFF kabla ya kupitisha makatazo kama hayo,Inabidi wawe wana jiuliza maswali kama hayaVPL pekeake ina timu 20 zenye wachezaji 30 @ na kufanya idadi ya wachezaji wote VPL kuwa 600!
Ktk VPL, vilabu vyenye FINANCIAL MUSCLES ya kusajili wageni ni AZAM, SIMBA na YANGA, kidooogo na KMC!
Jumla ya wachezaji wa kigeni ktk Vilabu vyote vya VPL haifiki 100! So bado kuna pool kubwa ya kupata wachezaji wa National team!
Mtibwa Sugar haina hata foreigner mmoja ktk kikosi chake, je imetoa wachezaji wangapi ktk National team CHAN?