mimi ni mpenzi mzuri wa kucheki soka la ligi mbalimbali duniani,katika mtiririko wa matukio,nimeshuhudia wacheza rafu wengi ambao hata wachezaji pinzani pengine walikuwa hawapendi au hata sasa hawapendi wakutane mchezoni.So nionavyo mimi wafuatao ndio wacheza rafu hodari tuliwahi kuwaona au wengine mpaka sasa wanacheza,but kama una mtazamo tofauti tupia list yako
1.tofting(denmark)
2.diouf(senegal)
3.gattuso(italy)
4.robbie savage(wales)
5.roy keane(ireland rep)
6.martin keown(england)
7.luis enrique(spain)
8.edgar davids(netherlands)
9.mauro silva(brazil)
10.ivan cordoba(colombia)
mimi ni mpenzi mzuri wa kucheki soka la ligi mbalimbali duniani,katika mtiririko wa matukio,nimeshuhudia wacheza rafu wengi ambao hata wachezaji pinzani pengine walikuwa hawapendi au hata sasa hawapendi wakutane mchezoni.So nionavyo mimi wafuatao ndio wacheza rafu hodari tuliwahi kuwaona au wengine mpaka sasa wanacheza,but kama una mtazamo tofauti tupia list yako
1.tofting(denmark)
2.diouf(senegal)
3.gattuso(italy)
4.robbie savage(wales)
5.roy keane(ireland rep)
6.martin keown(england)
7.luis enrique(spain)
8.edgar davids(netherlands)
9.mauro silva(brazil)
10.ivan cordoba(colombia)
Mizengo kayanza pinda.
11.Magambamimi ni mpenzi mzuri wa kucheki soka la ligi mbalimbali duniani,katika mtiririko wa matukio,nimeshuhudia wacheza rafu wengi ambao hata wachezaji pinzani pengine walikuwa hawapendi au hata sasa hawapendi wakutane mchezoni.So nionavyo mimi wafuatao ndio wacheza rafu hodari tuliwahi kuwaona au wengine mpaka sasa wanacheza,but kama una mtazamo tofauti tupia list yako
1.tofting(denmark)
2.diouf(senegal)
3.gattuso(italy)
4.robbie savage(wales)
5.roy keane(ireland rep)
6.martin keown(england)
7.luis enrique(spain)
8.edgar davids(netherlands)
9.mauro silva(brazil)
10.ivan cordoba(colombia)
Mark Van Bommel (The Oranje)
Alessandro Costacurta (The Azzuris)
Roy Keane (Ireland)
Taribo West (Super Eagles)
Benjamin Massing (Indomitable Lions)
Salum Kabunda (Ninja, Msudan) RIP - Kakakuona
Nigel de Jong (The Oranje)
Oscar Ruggerri (Argentina)
Martin Keown (Three Lions)
Sammy Onyango Jogoo (Harambee stars)
Mark Iuliano - Beki wa zamani wa Bianconeri(Juventus)...
Fernando Couto - Beki wa zamani wa Lazio, Parma, Barca, Portugal)...
Mark Van Bommel - Kiungo wa zamani wa Holland, Barca, Bayern Munchen, AC Milan...
Nigel De Jong - Kiungo wa AC Milan
Patrick Vieira - Kiungo wa zamani wa Arsenal, Juventus, Man City, France.
Roy Keane - Kiungo wa zamani wa Man Utd na Ireland.
Paul Scholes - Kiungo wa zamani wa Man Utd na England.
Marco Materazzi - Beki wa zamani wa Inter Milan na Azzuri.
Salum Kabunda "Ninja" - Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars.
watu8 - Beki wa zamani wa shule na vyuo vyote...walikua wananiita nukta maana nilikua nakaba hadi kivuli na nishasababisha raia wengi kufungwa POP.