Wacheni maneno mengi

suuza rungu

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
60
Reaction score
17
Wana ukawa nawaomba tuache maneno mengi ya malumbano na hawa chama mzee cha ccm kwani kulumbananao ni sawa na kupoteza muda kwenye mchezo wa bao hali ya Kuwa watu wapo makazini wanapiga hela

Ushauri wangu kwa wanachama na wapiga kura wote wa ukawa ni huu
Wakati ndio huu zimebaki siku chache kufanya maamuzi ya kuwatoa hawa waliotutesa kwa miaka mingi sana

Tushikamane kwa umoja na upendo na tumuombe mungu sana hili jinamizi lishindwe kwa uwezo wa mungu lisirudi tena madarakani

Haya sasa twendeni na wake zetu na watoto zetu tukawamwage ccm mto kagera wakaliwe na mamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…