Ukitaka wa humu ndani hebu mtafute Mshana Jr. atakupointia mitaa ya kumpata.Mkuu kuna mchawi unaemjuw? Ninashidanae sana.
Naomba namba yake mkuu.kabisa mkuu wapo
mkuu umesema jambo la msingi sana, mimi pia shagundua ukitaka uongeze vita ya mchawi jaribu kupambana nae kwa kinga za waganga, yaani hapo mtapigana vita kama vita ya dunia maana ataenda kuwaalika magwiji, ila dawa pekee ya mchawi ni yesu, hata aje na nini anakwamaWachawi kweli ni watoto wa Shetani. yaani wameniloga mimi na nyumba yangu yote tunahara kama bata. tumezunguka hospital mpaka tumechoka. Tumeamua kuweka kambi kwa tabibu mkuu yaani Yesu mnazarethi mwana wa Mungu aliye hai.
Hahahaha. Hawezi kufanya ivyo. Mi nataka niwe mteja wake kuu.mkuu usije baadae ukanilaumu , tukakukuta sarenda alfajiri huna nguo
Kuna watu nataka kuwatoa mkuu.akufunze uchawi mkuuππ
Wewe jichekeshe tu na kutuwekea hizo Avatar zako za kichawi.hahahhahahahπππ
YESU ni bwana wa vita jamani maana waganga ni pacha na wachawimkuu umesema jambo la msingi sana, mimi pia shagundua ukitaka uongeze vita ya mchawi jaribu kupambana nae kwa kinga za waganga, yaani hapo mtapigana vita kama vita ya dunia maana ataenda kuwaalika magwiji, ila dawa pekee ya mchawi ni yesu, hata aje na nini anakwama