Nina maswali kadhaa kwako mchawi wa Sumbawanga.Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)
Mimi nipo SUMBAWANGA huku mimi ndo brand manager nina uwezo wakuamisha mimba na uchungu.
Ukimpa mtu mimba na ukaikataa kwa makusudi nina uwezo wa kuiamisha mimba hiyo ije kwako.
Huwa napiga root kutoka SUMBAWANGA hadi UYOLE,MBEYA
DAR-ES-SALAAM nilishawahi kwenda ila nilichokutana nacho kule ni hatar hasa hasa pale KARIAKOO wachawi kila kona ya lile soko kama unavyojua waarabu wanatambuana kwa vilemba niliwajua nao wakanijua aisee yaaani walikua watupu(uchi wa mnyama)
Tufaamiane basi
Cc.wachawi
Karibuni SUMBAWANGA
Serikali haiwezi kuamini uchawi hata siku moja labda kwa nchi za wenzetu wao uchawi nje nje na kila kitu kipo waziBosi tufanyeje ili kuifanya serikali iweze kuajiri, au ndiyo uchawi hutumika kwa mambo negative tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauza nyungo olijino nipo huku SUMBAWANGA ni pm for more infoUngo wangu umepata hitilafu nipo mahenge huku gereji nautengeneza
Mshana anajuwa hili?Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)
Mimi nipo SUMBAWANGA huku mimi ndo brand manager nina uwezo wakuamisha mimba na uchungu.
Ukimpa mtu mimba na ukaikataa kwa makusudi nina uwezo wa kuiamisha mimba hiyo ije kwako.
Huwa napiga root kutoka SUMBAWANGA hadi UYOLE,MBEYA
DAR-ES-SALAAM nilishawahi kwenda ila nilichokutana nacho kule ni hatar hasa hasa pale KARIAKOO wachawi kila kona ya lile soko kama unavyojua waarabu wanatambuana kwa vilemba niliwajua nao wakanijua aisee yaaani walikua watupu(uchi wa mnyama)
Tufaamiane basi
Cc.wachawi
Karibuni SUMBAWANGA
Ok basi nifanyeje ili nimloge afisa mwajiri ili aniajiri.Serikali haiwezi kuamini uchawi hata siku moja labda kwa nchi za wenzetu wao uchawi nje nje na kila kitu kipo wazi
Ndo mana ukipatikana na tuhuma za uchawi serikali ndo yakwanza kukutetea.
Ntakupm mkuu maana huu Unanisumbua Sana. Siku moja nusu nianguke maeneo ya wazo hill tegeta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauza nyungo olijino nipo huku SUMBAWANGA ni pm for more info
Kwaiyo ungekuwa unaloger feelings za watu hahahahaIla kiukweli ningekua mchawi ningekua mzinzi vibaya mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ningeshangaa kama nisingemuona mshana Jr
Niulize kuhusu uchawi mkuu kinga muulize mshana jr yeye ndo mgangaHivi mkuu ninaweza kuwa na kinga tatu za mwili za waganga tofauti,?je kinga huwa hazieksipai
Ni maamuzi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aseeh huwa siamini kabisa kazi zenu
ahaa sawa mkuu...kila la heriNi maamuzi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimegundua kitu, wewe siyo mchawi either umeanzisha Uzi huu kwa lengo lako maalumNiulize kuhusu uchawi mkuu kinga muulize mshana jr yeye ndo mganga
Shedede Mbona mbwembwe nyingi mkuu?Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)
Mimi nipo SUMBAWANGA huku mimi ndo brand manager nina uwezo wakuamisha mimba na uchungu.
Ukimpa mtu mimba na ukaikataa kwa makusudi nina uwezo wa kuiamisha mimba hiyo ije kwako.
Huwa napiga root kutoka SUMBAWANGA hadi UYOLE,MBEYA
DAR-ES-SALAAM nilishawahi kwenda ila nilichokutana nacho kule ni hatar hasa hasa pale KARIAKOO wachawi kila kona ya lile soko kama unavyojua waarabu wanatambuana kwa vilemba niliwajua nao wakanijua aisee yaaani walikua watupu(uchi wa mnyama)
Tufaamiane basi
Cc.wachawi
Karibuni SUMBAWANGA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unprofessional Siku hizi jf kumejaa utoto mwingiShedede Mbona mbwembwe nyingi mkuu?
Habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada maana wachawi hatunaga maneno mengi ni vitendo tu.
Kwa miaka mingi sana nilipenda wachawi wote wa (jf)tufahamiane! Ndiwooo tufahamiane hili tusilogane(interlogertive)
[emoji781] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Nooooo.....kumbe nalala na mchawiii ooooo my god
Mimi nilipoona post nilijua yeye ndo kaanzisha![emoji1] [emoji1] [emoji1]Ningeshangaa kama nisingemuona mshana Jr