Wapo wachawi wanaologa kwa visasi au sababu wanazozijenga wenyewe katika bongo zao anaweza akakuchukia tu bila sababu ya msingi au sababu anazozijua yeye na akaamua kukuloga huku SUMBAWANGA ndo mkoa unao ongoza kwa vichaa (watu wasiokuwa na akili timilifu) huku ukiwa tajiri unalogwa ndo mana matajiri wa huku SUMBAWANGA wengi ni wageni(waliotoka mikoa mingine)
Binafsi mimi sio mzawa wa SUMBAWANGA ila nimekulia tu huku uchawi naujua vizuri.