kwa walioangalia tbc1 leo, yaani ilikuwa aibu. wachaga wanaokataa kila siku kuwa mwisho wa mwaka huwa wanaenda kutambika, leo tbc1 imeonyesha wakiwahoji walioko kule wakila kisusio, na wakisema wazi kuwa usipoenda kwenye matambiko matatizo yatakupata. wanasema wamekuwa na desturi hiyo miaka yote na hawawezi kuacha. kwa walioangalia tbc leo ilikuwa aibu jamani. kumbe huwa wanaenda kutambika na usipotambika kula ivyo visusio wanasema hata ukishika hela haikai. haya sasa. kwa wale waandishi wa habari au watu waliorekodi wakati tv inaongea naombeni muweke ile clip hapa ili shetani wa mamizimu aaibike.
Kakojoe ukalale!kwa walioangalia tbc1 leo, yaani ilikuwa aibu. wachaga wanaokataa kila siku kuwa mwisho wa mwaka huwa wanaenda kutambika, leo tbc1 imeonyesha wakiwahoji walioko kule wakila kisusio, na wakisema wazi kuwa usipoenda kwenye matambiko matatizo yatakupata. wanasema wamekuwa na desturi hiyo miaka yote na hawawezi kuacha. kwa walioangalia tbc leo ilikuwa aibu jamani. kumbe huwa wanaenda kutambika na usipotambika kula ivyo visusio wanasema hata ukishika hela haikai. haya sasa. kwa wale waandishi wa habari au watu waliorekodi wakati tv inaongea naombeni muweke ile clip hapa ili shetani wa mamizimu aaibike.
wewe wendawazimu umeolewa na wachagga .
bangi ni mbaya sana hueleweki umeandika nini
siku zote ukweli unauma. Grace kingarame alikuwa anasoma taarifa ya habari sasaivi, wote mnaokataa kuwa hamuendi kwenye matambiko mmeaibika kwisha habari yenu. wamewaonyesha wenzenu walio volunteer kusema ukweli wakiwa migombani huko wanakula kisusio na mbege...hahahahaKakojoe ukalale!
siku zote ukweli unauma. Grace kingarame alikuwa anasoma taarifa ya habari sasaivi, wote mnaokataa kuwa hamuendi kwenye matambiko mmeaibika kwisha habari yenu. wamewaonyesha wenzenu walio volunteer kusema ukweli wakiwa migombani huko wanakula kisusio na mbege...hahahaha
Asa aibu iko wapi mbona hizi dini zimekuja juzi tu na saivi kuna hadi maaskofu mashoga sasa unashangaa nn kutambika wanaoliwa tigo huoni tatizo
kwenye marudio ya taarifa ya habari nitarecord iyo eneo la clip na nitaliweka youtube na kukopy hapa ili ubishane na kivuli chako.
Wanaenda kuiangalia misukule yao ya biashara
kwa walioangalia tbc1 leo, yaani ilikuwa aibu. wachaga wanaokataa kila siku kuwa mwisho wa mwaka huwa wanaenda kutambika, leo tbc1 imeonyesha wakiwahoji walioko kule wakila kisusio, na wakisema wazi kuwa usipoenda kwenye matambiko matatizo yatakupata. wanasema wamekuwa na desturi hiyo miaka yote na hawawezi kuacha. kwa walioangalia tbc leo ilikuwa aibu jamani. kumbe huwa wanaenda kutambika na usipotambika kula ivyo visusio wanasema hata ukishika hela haikai. haya sasa. kwa wale waandishi wa habari au watu waliorekodi wakati tv inaongea naombeni muweke ile clip hapa ili shetani wa mamizimu aaibike.
msamehe bure huyo mtu wa nyika hana tofauti na mkapa aliyekimbia kwao na kuhamia lushoto!kijijini kwao kuna umasikini wa kutisha, kafika dar hawezi tazama tena nyuma kijijini,huoni hata nape kapashiti iramba nduguti kakimbilia mtama lindimtasema mengi sana ;mtaongea sana lakini sisi ndo tumeweka mjini wapumbavu nyie