Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Apr 18, 2012 #1 Wakuu, ninashangaa na inanitsha kuona siku muhmu kama ya leo viti vya wabunge viko waz. Je ni maswala muhmu ya nch yamewatoa? Ama mambo bnafs? Je ni sahh wao kutokuwepo?
Wakuu, ninashangaa na inanitsha kuona siku muhmu kama ya leo viti vya wabunge viko waz. Je ni maswala muhmu ya nch yamewatoa? Ama mambo bnafs? Je ni sahh wao kutokuwepo?