Wabunge waliohama Chadema mwaka 2015

Ya 2020 ndio kali zaidi, hadi panya na mende mnaowafuga pale ufipa watawahama safari hii.Vitu vingine havivumiliki mtu mmoja anaamuru watu atakavyo,mara hakuna kuingia Bungeni mara mfanye hiki bila vikao,bora abaki yeye na genge lake linalonufaika na uwepo wake kama m/kiti huku wakitumbua mifedha.
 
Waliwekeza kwenye matusi na kususa sasa kibao kimewageukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Slaa Alikuwa Mbunge!
Ni Kura ngapi mlipoteza Kwa kuwapoteza hao watu!
 
Nyinyi mna uwezo wa kupinga aamuwalo Jiwe? Kinachowahamisha ni njaa tu hakuna kingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zzk alifanyiwa figisu na mwamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale sisiem mtu mmoja ndio Mungu mtu. Neno lake ndio sheria
 
Vipi nyinyi mnaosigina katoba ya nchi bila ya kufuata sheria mna lipi lá maana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jipya hapo bali ni kuthibitisha ule usemi wa wahenga kuwa kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

Cdm kwa sasa inazidi kujiimarisha ndani na nje
In God we Trust
 
Na pia usisahau kuwa nanyi wenye majina kama lako mwisho wenu ni temu ijayo
In God we Trust
 
Unapoandika kana kwamba upo chooni unajiaibisha,ulitamani CHADEMA watekeleze ujinga wa ccm,hebu tuambie mlimpa simon group uda na akakopa kupiti a Mali za uda hilo deni ni LA uda au simon group,mbona ccm mnaendekeza njaa,maufuli amekopa Kwa siri mkopo wa kibiashara,unataka kutuambia mwenyeakili ataungana na huo upumbavu,

Zimetungwa sheria za vyama vya siasa kama wewe unaakili,unajua madhara ya hiyo sheria Kwa vyama vya siasa,acha uhuni,
Bunge linaendeshwa kama kijiwe cha kahawa,akisimama mbunge wa upinzani kutoa hoja ndugai anawahimiza wabunge wa ccm kutoa taarifa ili mtoa mada asiendelee,
Hebu tusaidiane,kama CAG ameajiriwa Kwa ajili ya ukaguzi wa Mali za umma,kwanini shirika la ndege ATCL halikaguliwi na MKAGUZI,au mbona biashara ya madini kuanzia uchimbaji mpaka kusafirishwa hakuna ukaguzi,jamani msiendekeze matumbo yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…