I ikindo Senior Member Joined Nov 29, 2011 Posts 132 Reaction score 110 Apr 18, 2012 #1 Kwa ripoti hii ya CAG JK asipovunja baraza la mawaziri ninaukana UTANZANIA.
Chali wa Moshi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 258 Reaction score 61 Apr 18, 2012 #2 bunge mpaka linaleta ladha sio siri.
I ikindo Senior Member Joined Nov 29, 2011 Posts 132 Reaction score 110 Apr 18, 2012 Thread starter #3 Yaani mtuhumiwa mkulo pamoja na mtoto aw mkulima wameingia mitini wakati taarifa za kamati zikiwa zinasomwa, eti mkulo Yukon WAshngtoni akiandaa bajeti!!!!!? ,sijui ya mwaka gani hiyoo, AMA kweli hii ndo nchi ya Wadanganyika.!!??$$$@@@///--
Yaani mtuhumiwa mkulo pamoja na mtoto aw mkulima wameingia mitini wakati taarifa za kamati zikiwa zinasomwa, eti mkulo Yukon WAshngtoni akiandaa bajeti!!!!!? ,sijui ya mwaka gani hiyoo, AMA kweli hii ndo nchi ya Wadanganyika.!!??$$$@@@///--