Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 May 2, 2012 #21 nice 2 said: Sijui January Makamba anajiskiaje saizi Click to expand... anafikiria kunyoa kipara tu...nimeamini akili ni nywele.....ukinyoa kipara kichwa kinakuwa kama kota hivo hata kufikiri unakuwa kama unatumia makota
nice 2 said: Sijui January Makamba anajiskiaje saizi Click to expand... anafikiria kunyoa kipara tu...nimeamini akili ni nywele.....ukinyoa kipara kichwa kinakuwa kama kota hivo hata kufikiri unakuwa kama unatumia makota
M mwarain Member Joined Feb 12, 2012 Posts 56 Reaction score 17 May 2, 2012 #22 Amavubi said: Mimi naamini ni propaganda tu za JK lakini lazima mkwara ulitembea Click to expand... Naam! JK alicheki wananchi walivyommaind ndo akaamua kuua soo! Kama angekuwa serious basi wale jamaa wasingekuwa mawaziri hadi muda huu ninapoandika!!! He is not serious at all!!!
Amavubi said: Mimi naamini ni propaganda tu za JK lakini lazima mkwara ulitembea Click to expand... Naam! JK alicheki wananchi walivyommaind ndo akaamua kuua soo! Kama angekuwa serious basi wale jamaa wasingekuwa mawaziri hadi muda huu ninapoandika!!! He is not serious at all!!!
Kinyamagala Senior Member Joined Oct 13, 2011 Posts 154 Reaction score 29 May 2, 2012 #23 kigwangala anavizia uwaziri wa afya ndo maana hakusaini hoja ya zito