===>Watanzania tunawategema sana kwenye sula hili la kutengeneza katiba mpya,
===>Msije mkachoma ngazi ya kutokea nje ya ukuta mrefu kwa sababu ya baridi (posho na mihemuko yenu,na ushabiki wa kisiasa) ya siku sabini,chonde chonde!
===>Hamtatoka,itumieni hii bahati vizuri.