Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.
Si kweli! Wanatudhihaki walalahoi. Tunajua wao ni watu wenye kipato cha juu kabisa iweje waanze kulialia kama sisi? Au wanatafuta 'huruma' kwetu na kutusahaulisha machungu yetu? Hiyo janja ya nyani bhana.
hahahahhahahahaahhaahahahah.....Walikuwa wanawabania UKAWA hivo vijiposho vyao hawajui kuwa tu Opposition ni kujitoa sadaka.....na ni watoro balaa na bado wanalipwa posho
Wenye njaa watakuwa kijani maana sidhani kama wana maarifa mengne zaidi yakutegemea tu ubunge changia zao tu bungeni unajua kabisa hawa wakikosa mshahara wanalala njaa na hawajazoea unategemea nini kama sio kulia lia magazetini
Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.
View attachment 361047 Sasa ni dhahir Magufuli kabana kila kona. Wabunge wamesikika wakilalamika kuwa hali yao mfukoni ni mbaya zaidi. Imefikia kipindi wanakimbia hata Hoteli kwa madeni.
Kwani zile posho Zao za malaki mangapi sijui zilipunguzwa? Inabidi nao waishi kama shetani sio kama malaika miaka yote, naona hali ya kuheshimiana inatimia taratibu.