Wabunge Nao Wavae Majoho

mwangahikaji

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
98
Reaction score
35
Hivi ni kwa nini Wabunge nao wasivae majoho kama Madiwani? naona wah. wabunge maalum la katiba wanavyohangaika kushona suti hapa Dodoma lakini pia kuleta uniformity kwa wah wabunge wetu wote
 
Bora wavae sare za vyama vyao tu. Ili kupunguza gharama za kushona majoho maana watataka pair 6 kila siku wabadilishe hafu yatakuwa bei ghali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…