Ukifata maneno ya watu watakuambia chochote. Fact is, mheshimiwa Sabina is a very brilliant in the National Assembly. Serving in virtually all the important commitees health, education you name it. Very smart mind.
We jamaa bana mwenzako amekamatwa alafu eti amekuwa na uhusiano na wabunge wa kike 13. Thats the guy! Hehehe Hana huzuni eti. Huwezi jua kwamba amedakwa kwa kumtazama. Anapiga bonge la smile afande walomkamata nao masmile. Yaani kila kitu kwake kipo freshi. Hii ni movie walahi. ๐๐๐
Jogoo wa mjini Benson Chacha hakuacha kuonesha makeke yake ktk mahakama ya jijini Nairobi, Kenya huku akitoa tabasamu kubwa la mafanikio yake. ....
Source: K24TV