Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Na akiitumia vibaya kama anavyoitumia Jiwe basi twafaaaaa!Katiba yetu imempa Rais mamlaka makubwa zaidi ya mfalme
Wabunge wa ccm ni useless!Tatizo kijani , wabunge wa ccm hamna kitu kabisa afadhari ujaze ma imbecile bungeni yanaweza kupitisha cha maana lakini sio wabunge wa ccm .
Fungu la Rais au vote 20 halikaguliwiMbona Ikulu inakaguliwa na CAG
Na wanachadema wanaamini mbowe ni Kama Ni naniWana ccm wanaamin kuwa jiwe ni kama mungu ..kwa hiyo hakosolewi
Nyie endeleeni kumuabudu hiyo underdog wenu mtaenda nae motoniNa wanachadema wanaamini mbowe ni Kama Ni nani
Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,
Katiba yetu imempa Rais mamlaka makubwa zaidi ya mfalme
Wabunge mazuzu mkuu hawawez kitu wanacheza ngoma ya jiweHaiwezekani mtu atumie mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kukaguliwa!Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,Rais amekuwa akibadili matumizi ya pesa kwenye bajeti na kupeleka kwenye fungu lake!Halafu hakaguliwi,huu utaratibu gani?Nani alitunga sheria hiyo na kwa manufaa ya nani?
Ni wakati sasa wa kurekebisha makosa!
NB:Mimi huwa naudhika sana pale napomuona akitawanya fedha kwa sifa kama za kwake!Nilishangaa siku anawapa taifa stars milioni 50,kwa sifa eti anaomba begi la hela na anaanza kuwahesabia mbele ya kamera na kuwakabidhi!
Kwani angewapa cheki angepungua nini au ujiko usingenoga??
Daàh,hapo kazi ipo!wabunge hawahawa wa ccm au kina nani?