Wabunge badilini sheria ili fungu la Ikulu likaguliwe na CAG!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
5,368
2,000
Haiwezekani mtu atumie mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kukaguliwa!Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,Rais amekuwa akibadili matumizi ya pesa kwenye bajeti na kupeleka kwenye fungu lake!Halafu hakaguliwi,huu utaratibu gani?Nani alitunga sheria hiyo na kwa manufaa ya nani?
Ni wakati sasa wa kurekebisha makosa!

NB:Mimi huwa naudhika sana pale napomuona akitawanya fedha kwa sifa kama za kwake!Nilishangaa siku anawapa taifa stars milioni 50,kwa sifa eti anaomba begi la hela na anaanza kuwahesabia mbele ya kamera na kuwakabidhi!
Kwani angewapa cheki angepungua nini au ujiko usingenoga??
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,420
2,000
Tatizo kijani , wabunge wa ccm hamna kitu kabisa afadhari ujaze ma imbecile bungeni yanaweza kupitisha cha maana lakini sio wabunge wa ccm .
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,145
2,000
Wabunge wepi hao,Kazi ya bunge dhaifu ni kupitisha Sheria si kutunga Sheria.CAG ni mwiba Kwa upigaji na ufisadi halitowezekana hilo
 
Tindikali

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
1,580
2,000
Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,

Kwa nini tuachane na zile anazopangiwa za bajeti ya Ikulu?

Ikulu - including and especially - Usalama wa Taifa ni chaka kubwa kuliko yote ya wizi wa mali ya umma siku zote miaka yote.

Wakurugenzi Usalama wa Taifa, Wakuu na idara, wastaafu na walio vitini, ndio watu wenye ukwasi kupita wote nchini baada ya wahindi wafanyabiashara.

Ikulu, Usalama kuna hela ya kuchota isiyo hojiwa kwa mujibu wa sheria. They know it, they can NEVER deny it, they are guilty as alleged.
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,606
2,000
Rais apunguziwe mamlaka, tayari kalewa kwa mvinyo mbaya wa madaraka na mamlaka
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,837
2,000
Haiwezekani mtu atumie mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kukaguliwa!Ukiachana na zile anazopangiwa katika bajeti,Rais amekuwa akibadili matumizi ya pesa kwenye bajeti na kupeleka kwenye fungu lake!Halafu hakaguliwi,huu utaratibu gani?Nani alitunga sheria hiyo na kwa manufaa ya nani?
Ni wakati sasa wa kurekebisha makosa!

NB:Mimi huwa naudhika sana pale napomuona akitawanya fedha kwa sifa kama za kwake!Nilishangaa siku anawapa taifa stars milioni 50,kwa sifa eti anaomba begi la hela na anaanza kuwahesabia mbele ya kamera na kuwakabidhi!
Kwani angewapa cheki angepungua nini au ujiko usingenoga??
Wabunge mazuzu mkuu hawawez kitu wanacheza ngoma ya jiwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom